Waga hazifiki 40 kijana,ndo maana hawaruhusu kukaa na saaAiseee !! Yaan leo ndo nimeamin kwann mwalim wangu alinambia niwe naandika haraka
Yaan 40 zimeiaha ndan ya 20
Saa zilipigwa marufuku sababu ya cheating lakini lazima zifike sema kila swali unatakiwa kutumia dakika 10😎😎😎😎😎Waga hazifiki 40 kijana,ndo maana hawaruhusu kukaa na saa
Kuna Taasisi nyeti nilialikwa kushuhudia usaili nikashangaa sana.Kwa mara ya kwanza nimefanya interview ya utumishi. Ninamshukuru Mungu sana kwa hii nafasi, ukweli nimepata experience na changamoto, naimani ndio mwanzo wangu inshaallah nitaendelea kujiboresha.
Kada ilikuwa maendeleo ya jamii(Community Development Officer )
Aisee kule ndani sio poa.
24hrs 😳😳Kuna Taasisi nyeti nilialikwa kushuhudia usaili nikashangaa sana.
Kumbe wanawafatilia 3weeks 24hrs.
Amen
Hakuna Sanaa
mzigo hatari
Kwa maneno haya umepigwa na kitu kizitoKwa mara ya kwanza nimefanya interview ya utumishi. Ninamshukuru Mungu sana kwa hii nafasi, ukweli nimepata experience na changamoto, naimani ndio mwanzo wangu inshaallah nitaendelea kujiboresha.
Kada ilikuwa maendeleo ya jamii(Community Development Officer )
Aisee kule ndani sio poa.
Wanawafatilia nini sasa?Kuna Taasisi nyeti nilialikwa kushuhudia usaili nikashangaa sana.
Kumbe wanawafatilia 3weeks 24hrs.
Amen
Hakuna Sanaa
Pepa la kawaida tujitaidi kusoma
Ukiwa na jambo la kufanya, muda huwa unaenda haraka ingawa unaenda vile vile.Waga hazifiki 40 kijana,ndo maana hawaruhusu kukaa na saa
Hili paper limekunjwa?? Vijana ni wa ovyo mmmmmmae!!!
Wanakuwa na check list YaoWanawafatilia nini sasa?