ni kweli kabisa mimi nilikuwepo na ni mmoja kati ya walioshiriki. Tulipiga written pale cbe watu kumi na sita then tukaitwa watu tisa. Wakati tunasubiri kuingia oral yule jamaa wa utumishi akatuuliza hv* MMEMUONA MSHINDI WENU* tukasema hapana. Baadaye tukaona anakuja jamaa ambaye hakuwepo kwenye written. Tukaingia cc yeye akawa wa mwisho. Hatujui kilichoendelea.