utumishi haooooooooooooo

Will i.a.m

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
347
Reaction score
49
Taarifa kwa Umma kusuhu Tangazo la kazi la tarehe 26 Machi, 2013. [TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="colspan: 2"] Waombaji wa nafasi za kazi Serikalini kwa tangazo lililokuwa limetolewa tarehe 26 Machi, 2013 kupitia Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ambalo mwisho wa kutuma maombi ilikuwa terehe 9 Aprili, 2013 wametakiwa kuangalia majina yao katika tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kuanzia tarehe 13 Mei mwaka huu ili kujua endapo wamechaguliwakwa ajili ya kufanya usaili wa nafasi walizoomba. Naibu Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Bw. Lucas Mrumapili amesema ofisi yake imepokea jumla ya barua za maombi ya kazi 20,763 ambazo mchanganuo wake kwa tangazo la Kiingereza imepokea barua za maombi 6,332 na kwa tangazo la Kiswahili imepokeabarua za maombi 14,431 ambapo Ofisi yake iko katika hatua za mwisho za kukamilisha uchambuzi wa maombi hayo ili kuweza kuendelea na zoezi la usaili.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[/TABLE]
 
bado, nadhani inaweza kuwa leo! Lakini let us not depend much on it!
 
inabidi tumwombe mungu atusaidie jamani
 
ngojeni kwanza majina yaliombatanishwa na bahasha za kaki yapekuliwe
 
wazee hivi wameita kote au mana kuna jamaa ameomba nimuangalizie na aliomba kupitia wizara ya nishati na madin au ndo ishafutwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…