Inawezekana kweli. Mie sipo huko. Ila week 2 zilizopita nimekuwa nikideal na mteja aliedai kwamba hadi sasa hajalipa chochote kwasababu utt hawajamlipa na walimwambia siku 5 za kazi lakini hawajamlipa lakini final j5 wamemlipa kitita chake na sasa anaenjoy na project yake inarun smoothly.