Hata Arusha ni deal kubwa sana, trafic wako vizuri kwa siku mtu anakusanya laki2-3 haya ni mambo ya kawaida sana, traffic police wananunua magari mapya kila saa kila siku, kumiliki daladala 5-10, toyo10-20, nyumba za kupanga vitu vya kawaida sana lkn wao wanaishi kwenye vijumba vyao vya polisi.
Traffic police wamegeuka ni wafanyabiashara, wakusanya hela kwa nguvu barabarani za kutia ndani ya matumbo yao. Wanagawana kuanzia kwa wakubwa mpaka hawa wadogo.
Gari iwe ina kosa haina kosa hela lazima utoe