google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,868
very inquisitive kid you were. Mkuu wewe ni mtafiti siku hizi?Nikisikia watu wanaongea fulani kala pesa najiuliza siku nzima hivi mtu anawezaje kula sarafu kama sh. 10 na 20 na noti ya sh 100 na 200
Habar zetu wanajamvi, hivi ndivyo nilivyokuwa nikiamini utoton sijui ww dunia nzima ni kabila letu baba anawaweza ngumi watu wote dunian watoto wanaletwa na ndege mpaka hospital ndo wauzwe Mungu anaishi kanisani ukitaka kumwona unamwona ukilia usiku saut inapotea karibun wenzang tukumbuke tulikotoka.
very inquisitive kid you were. Mkuu wewe ni mtafiti siku hizi?