yassird200
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 971
- 1,699
Mkuu umepiga hata mswaki kweli?Wakuu habari zenu natumai mu wazima wa afya. Changamoto yangu ikohivi niko20s lkn sijawahi kupata mwanamke seriously wote wanautoto mwingisana. Jambo lilonifanya nifikirie kudates na wanawake wakubwa,finally nimempata huyu best ake sister nikidhani yuko matured lkn chakushangaza kila Jambo anasimulia dads yangu mbaya zaidi yuko 30s . Binafs me nimtu nisiependa utoto mwingi na kuweka wazi mahusiano yangu jambo hili linafanya nisiwe na amani napata shida hasa kumuangalia sister make utani nimwingi japo sio negative. Je ni mimi niko nje ya wakati ama niko sahihi asa aman? NB: natafta namna sahihi yakuachana nae au nakosea wakuu?
Kaka nimechokaMkuu umepiga hata mswaki kweli?
Nipo kazini ndo natoka shftMkuu umepiga hata mswaki kweli?
Mkuu ani kila jambo wanaweka open hata kama ukise.a hutakiHebu fafanua huo utoto unaokunyima usingizi mtoto.
Aisee pole sana mkuuKaka nimechoka
Nipo kazini ndo natoka shft
Wananchi waongeze calculator,Tupigie hesabu kwnz yanga atavukaje makundi
Umechoka upo kazini, au unasubiri shule zifunguliwe keshokutwa Jumatatu, ili uendelee na masomo!!Kaka nimechoka
Nipo kazini ndo natoka shft
Kaka hilo haliwezekaniTupigie hesabu kwnz yanga atavukaje makundi
Ulishawahi kumlomba huyo rafiki wa Dada ako?Wakuu habari zenu, natumai mu wazima wa afya. Changamoto yangu iko hivi niko 20s lakini sijawahi kupata mwanamke seriously wote wanautoto mwingi sana.
Jambo lilonifanya nifikirie kudate na wanawake wakubwa, finally nimempata huyu best ake sister nikidhani yuko matured lakini chakushangaza kila Jambo anasimulia dada yangu mbaya zaidi yuko 30s. Binafsi me ni mtu nisiependa utoto mwingi na kuweka wazi mahusiano yangu jambo hili linafanya nisiwe na amani napata shida hasa kumuangalia sister make utani nimwingi japo sio negative.
Je ni mimi niko nje ya wakati ama niko sahihi hasa amani? NB: natafta namna sahihi yakuachana nae au nakosea wakuu?