chriss45 New Member Joined Nov 20, 2022 Posts 4 Reaction score 3 Dec 4, 2022 #1 Msaada ndugu zangu Nina mtoto wa kike ana mwaka na miezi 6 lakini bado utosi wake haujafunga kabisa yani bado unadunda kama mtoto mchanga
Msaada ndugu zangu Nina mtoto wa kike ana mwaka na miezi 6 lakini bado utosi wake haujafunga kabisa yani bado unadunda kama mtoto mchanga