Basic Technician Certificate hiyo ni NTA level 4.
Technician Certificate hiyo ni NTA level 5.
Ordinary diploma hii NTA level 6.
Sasa unapohitaji kujiunga chuo kwa kusoma kozi husika huwa kuna sifa za kuanzia NTA level 4 ambayo mpaka ufike hiyo level 6 itakuchukua miaka 3 ila anaeanzia NTA level 5 yeye itamchukua miaka 2 kufika level 6.