Usijibu kitu kama huna uhakika na nini unaandika.
Utility bill ni bill ya huduma unazopata nyumbani kwako ambazo zinaonesha address ya mahali unapoishi. Ulaya hizo bill zinajumuisha vitu kama UMEME, MAJI, SIMU na KODI. Matumizi ya utility bills ni very common Ulaya wakati wanahitaji kuhakiki address yako.
Passport na driving licence zimetumika kuvalidate IDENTITY yako na hizo UTILITY bils zinatumika kuvalidate ADDRESS yako. Kwa Tanzania ni shida kidogo maana sina uhakika kama bill zinaonesha namba ya nyumba na mtaa unaoishi kama wanavyofanya Ulaya.