Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
jmushi1 na kuhakikishaia kuwa mimi ni kijana huru sijafungwa fikra zangu na chama wala mtu yeyote. Nimekuwa nikikosoa kila lenye kukosoleka na kupongeza lenye kupongezeka liwe la CDM, CCM na CUF.
Ila kama unataka niwe mwanachama wa vyama unavyosema wewe nishawishi ili nijiunge.
ukigeuza siasa kuwa ajira haya ndio matokeo yake.kwa hakika nimegundua kuwa karibu wote hawa hawana ajira za kuaminika na wanategemea CHADEMA kiwabebe badala ya wao kukibeba chama mpaka tutakapo fikia ukombozi wa kweli wa nchi yetu. mwenye matatizo makubwa kuliko wote ni ZZK anayetumia udhaifu wa hawa vijana ili afikie malengo yake kisiasa hata kama njia anayotumia ni HARAMU NA HAIKUBALIKI.Afukuzwe bila kumuonea huruma hana maana.tumechoka! this is not a right place now>>> nenden kwenye vikao vya chama jamani!!!!
Yani imekuwa kama Hadija kopa na Nasma Kadogoo R>I>P.
Siasa haiendi hivi Nyie Vijana.
Dr Slaa na Mw Kit. Please hawa Vijana waiteni muwaonye, Huu upuuzi wa maneno ya khanga hatutaki humu jamiii.
hapa wasira na Nape wanachekelea tu, wanapata vyakuongea majukwaani.
tumechoka! this is not a right place now>>> nenden kwenye vikao vya chama jamani!!!!
Yani imekuwa kama Hadija kopa na Nasma Kadogoo R>I>P.
Siasa haiendi hivi Nyie Vijana.
Dr Slaa na Mw Kit. Please hawa Vijana waiteni muwaonye, Huu upuuzi wa maneno ya khanga hatutaki humu jamiii.
hapa wasira na Nape wanachekelea tu, wanapata vyakuongea majukwaani.
Kwa vyovyote vile Ben Saanane ni Jasusi wa CHADEMA na akili na ujuzi wa kufanya hivyo anayo.naanza kuwa na wasiwasi na huyu ben kama sio jasusi wa Chadema basi atakuwa wa vyama pinzani mwenye mission ya kuchafua chadema