Uthibitisho kua jehanamu ipo chini

Andika hiyo website tuangalie wenyewe kama huwezi kuweka link
 
kwi! kwi! kwi!
 
hahaaaaa, hao walishikwa na uchizi tu, hakuna kitu kama hicho, ndio maana hujawek hata link
 
Hahahahhahhhahha
Ndivyo mnavyo wadanganya waumini wenu? ?

Jehanam ni watu waongo kama wewe.
Maana unawavizia watu wasio na elimu au uwezo
Mdogo wa kufikiria na wale wasio na exposure.
 
He he he walimuona shetani hawakumpiga picha...?
 
kwa hiyo sauti ndo inathibitisha uwepo wa jehanamu?
 
Aisee hizi imani kweli kila mtu na anavo amini wengine ukisema kuna jahanamu wanakucheka wanasema hakuna kila mtu abaki tu ktk position yake tukifa tutajua ukweli
 

MNASO utanasa wengi wasiojua maandiko!
 
Haya we jitishe tu halafu usiku uanze kuota ndoto mbaya
 
Yan wasikutane na maji na mafuta wakakutane na shetan mweh jaman
 
Hahahahhahhhahha
Ndivyo mnavyo wadanganya waumini wenu? ?

Jehanam ni watu waongo kama wewe.
Maana unawavizia watu wasio na elimu au uwezo
Mdogo wa kufikiria na wale wasio na exposure.
huyo atakuwa kibwetere anataka kudanganya wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…