Utendaji kazi wa NACTE

yuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
376
Reaction score
265
Habr wana jf tukiwa tunaendelea na maombolezo ya taifa naomba kuleta hii kero yangu hii hum ndani

Km kichwa kinavyo jieleza NACTE wamekuwa wazembe na wavivu sana ni heri wafutwe ili hata kam ni diploma tuombee TCU kuliko nacte.

Nacte waliahidi mwezi wa 6 kuwa mwisho wa kuaply ni trh 8 wa 9 safi sana hapo wamefuata ratiba. Sasa ishu inakuja kutoa majibu kwenye account zetu mpka sasa hakueleweki kabisa.

Kumbka sisi ni watoto wa wanyonge na haoy majibu ndo yanatufanya tujiandae mapema. Sasa kwa mfano mkitoa majibu mnatoa wiki ndo twe tumeripoti wakati wengine mpk vikao vya kijiji vikae kutuchangia.

NACTE acheni ujinga na uzembe fanyeni kazi kwa muda uliopangwa fungueni accaunt zetu tujue la kufanya km hatujachaguliwa.

Nawaslisha
 
Hivi tulio apply maombi ya ualimu kupitia NACTE majibu lini jamani, mbona hata web yao ina zingua.
 
Hivi tulio apply maombi ya ualimu kupitia NACTE majibu lini jamani, mbona hata web yao ina zingua.
Na ndio maana nkaleta uzi huu maalum hum maana hata nwaka jana ilikuwaga hivi hivi watu wakalia humu wakasema sana mpk nacte wakaliona hili. Sasa kwa sasa hivi naona madogo mmelala sasa hatushirikiani kuongeza nguvu maana naona hum lazima kuna majitu ya nacte yapo hum laiti nkiwa waziri wa elimu naanza na nacte maana wapo ovyo sana hawajielewi. Na hawatumii akili
 
Kwa hiyo hatutumi akili?!?! Hatukuchagui, tafuta jembe ukalime shubamit
 
Hivi tulio apply maombi ya ualimu kupitia NACTE majibu lini jamani, mbona hata web yao ina zingua.
5th October 2018
Publication of selected students for various Certificate and Diploma programmes by Technical Institutions, Universities offering Certificate and Diploma programmes & NACTE
 
5th October 2018
Publication of selected students for various Certificate and Diploma programmes by Technical Institutions, Universities offering Certificate and Diploma programmes & NACTE
 
mzee baba kuwa mpolee...kuanziaa tumor mambo yanaanza kuachiwaaa mana leo walikuwa wanamalizia kuchagua chaguaa majina ko ...kesho shinda kwenye web ya nactee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…