Ni vizuri zaidi ukaweka mawazo yako hapa ili kuwasaidia na vijana wengine wasio na ajira waweze kujiajiri mkuu kwani kusema tu jiajiri haitoshi kumkomboa asiye na ajira.
wanahitajika watu wenye uzoefu katika soko la ajira ili kuwasaidia wengine pia jinsi ya kujikwamua katika giza nene mkuu.