Utata katika mapenzi


Sijaona sehemu yoyote hapa kwenye thread yake kuwa hiyo binti ni mwanafunzi, wachangiaji wameshamhukumu na kumchagulia gereza mara KEKO mara SEGEREA. Ni vema itambulike kwa GT kuwa sheria ya ndoa ya JMT inaruhusu binti kuolewa akiwa na umri wa kuanzia miaka 15 na hata 14 mazingira yakibidi , sasa huyu ni zaidi kwani ana miaka 17. Namshauri kijana kama anampenda kwa dhati amuoe na aachane na mawazo ya kumuacha."No person shall marry who, being male, has not attained the apparent
age of eighteen years or, being female, has not attained the apparent age of fifteen years."

In addition, a court may give leave for the marriage of a
fourteen-year-old girl, if the court "is satisfied that there are special
circumstances which make the proposed marriage desirable."

Law of Marriage Act of 1971, § 13(1),

TANZANIA LAWS [CAP 29 R.E. 2002].



 
sasa wana mmu mwenzetu kaja anaomba ushauri nyinyi mnasimanga sio ustaarabu!!
kaka hebu tuambie huyo binti yupo kidato cha ngapi?
yalishanikuta na nilimwacha kwa akili sana mpaka mwenyewe kafurahi!!!
kosa ni kumwonjesha utamu tu.....

Mpe mbinu basi za akili ili aweze kumuacha.
 

Sio kila statute inavyosema nasi tunafata huyu bint ni mtoto ambae yupo under 18 years old na bado yupo katika possesion ya wazazi ni kwanini yeye amchukue minor?hapa angalia is a minor capable of contracting??hayupo capable and the guy ame take advantage over her.
Defence towards this ni ndogo jamaa kabaka atake asitake ye ni mbakaji hata kama alikubali
alimrubuni ndo maana anasema tulipanga mipango mingi?kama sio kumdanganya na kumrubuni hyu under 18 nini?
 
Wadau sio mtoto Kama mnavyodai niko Chuo udsm mwaka wa pili
 
Kaa chin ujiandae kufanya mtihan wa mwisho we mtoto uta FELI kwa kuendekeza mapenzi
 
Au sio kaka nimeshampotezea mda tu nafikiria maisha yangu japo iliniuma sana ila sasa nimeshazoea
 
Acha uzandiko wewe... inamaamna umri wako ni chini ya miaka 17
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…