Utata interview za tume ya ajira(PSRS)


kuna jamaa anaitwa Fidelis E. Haule ameitwa interview nyingi sijui atazifanyaje kwa pamoja
 
nilitupia jana humu jf ila walisema kwa wale ambao bado hawajaonyeshwa pa kufanyia interview wawe tayari maana muda wowote watataarifiwa .kwa hiyo sioni kama walikosea kitu hapo

kama uliyadownload naomba utusaidie kuyaweka hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…