wale wa makumbusho wenye suti na wanaosalimia GOOD MORNING ata jioni wana product ila hz HYIPs weng wanazirun kwenye office/ magheton kwao na wanatumia tu premiumVPN ili waonekane either wapo UK or nchi yoyote hile ya kuaminisha watu na wanaanza kupiga pesa.Hawa kama wa online global na visuti vyao
KWA FAIDA YA WENGI.
Haya makampun yanayojinasibu kuwa uwekeze kiasi...... ili upate faida kwa lisaa, siku, na unakuta % ni kubwa sana ni WAONGO kwa 100%.
WANAWEZAJE KULIPA?
Miaka ya nyuma walikuwa wanasema wanawekeza kwenye migodi, Wananunua Gold, wanafanya biashara za Ndege, Magari ya Kifahari ili tu mlengwa ajue kuwa wana hela sana na wanawekeza mahali sahihi.
Kwa sasa baada ya Technology kukua kwa kasi wakaanza kusema wanaTrade Forex na pia wanafanya Crypto Mining kama Bitcoin yote hii ni kutaka tu kuaminisha watu kiwa pesa zao zipo salama.
Nizungumzie kuwa wanawezaje kulipa na waonekane ni Legit?
Hawa jamaa wanachofanya wanakuwa na mtaji wao mfano kwa za bongo hz wanakuaga na 1M tu balance ya kuwalipa wateja wa hawali kabisa wanaojiunga ili waonekane wapo vizur, baada ya muda wanaanza kuchukua pesa za wateja wapya na kuwalipa wale wa mwanzo mpaka pale watakapoona Target yao imefika wanazima System yao na mnabaki mnalalamika tu.
USAJILI WANAPATAJE?
Hili Swali limekuwa likiwasumbua wengi kuwa kama si halali mbona wamesajiliwa na Number zipo?.
Nipende tu kusema kuwa usajili mfano UK reg no zinauzwa kwa $100 tu unapewa namba na virtula Address yaan mtu akiingiza namba kweli unaonekana umesajiliwa na upo vizur kumbe za MCHONGO Tu.
Hawa wanaofanya hz ishu 80% kwa hapa kwetu ni wakenya na wanaoffice kali sana Nairobi, Naongea haya sio kwa kutunga nina jamaa wawili nawafaham walifungua system kama hzi wapo Nairobi wakawaliza watu (waafrica kwa wazungu) $300,000+ wakablock system, Na za Africa nying zinatoka NIGERIA.
NB:
HIZI NI DECI ZA KISASA
Weka hela yako ukijua muda si mrefu hautokuja uione hyo system wakishakusanya za kutosha.
SINA MPANGILIO MZURI KWENYE KUANDIKA MAANA NATUMIA SIMU ILA NAJUA UJUMBE UMEFIKA.
Hawa PAMA FUNDS walikuwa wanasema wapo USA kwa Obama kabisa daaah kuna mtu nikamwambia jichanganye uone wengne wapo LAGOS tu hapo wanakwambia USA, pesa inatafutwa kwa njia yoyote hile na mtu akaijichanganya mbele yako ni kupita nae tu maana kama watu hawataki kusoma muda wote watoto wa kiume WANALAMBA LIPS TIKTOK na KUBINUA MAT****KO tiktok wafanywaje sasa ngoja NIGERIAN na Wakenya waanyoshe[emoji1787][emoji1787]Kuna jamaa kadhaa back days, niliwaambia wasijichanganye kwenye Kasite kamoja Kalikua kanaitwa PAMA FUNDS[emoji23][emoji23] Ehh bhana system haionekani na aliweka Boom kama Mbili hivi[emoji1787]
Sicheki kwa mazuri
Wameanzisha lini?Kuna hii moja inaitwa amway sijui ndio katika hawa
sasa hv kuna moja hapa kwetu wanajiita SME-Tanzania ila nje zipo nying sana jaribu tu kuGoogle HYIPs au HYIPs monitors alaf ukienda kwenye monitors utaziona za kitambo mpaka ambazo zimekuaLaunched muda si mrefu.Zitaje
Mpya kabisa ni ipi kiongozi wangu?sasa hv kuna moja hapa kwetu wanajiita SME-Tanzania ila nje zipo nying sana jaribu tu kuGoogle HYIPs au HYIPs monitors alaf ukienda kwenye monitors utaziona za kitambo mpaka ambazo zimekuaLaunched muda si mrefu.
Baadhi ya monitors ni Instant monitors, hiypmonitors24, popularhyip, Investors-protect.
Mimi napenda sana kutumia hii investors-protect.
Ukijua namna ya kucheza na hiz hyip hela yako mara nying itakuwa safe ata kama utakuwa unapata FAIDA kidogo ila ukiweka tamaa ndio umeliwa
sasa hv kuna moja hapa kwetu wanajiita SME-Tanzania ila nje zipo nying sana jaribu tu kuGoogle HYIPs au HYIPs monitors alaf ukienda kwenye monitors utaziona za kitambo mpaka ambazo zimekuaLaunched muda si mrefu.
Baadhi ya monitors ni Instant monitors, hiypmonitors24, popularhyip, Investors-protect.
Mimi napenda sana kutumia hii investors-protect.
Ukijua namna ya kucheza na hiz hyip hela yako mara nying itakuwa safe ata kama utakuwa unapata FAIDA kidogo ila ukiweka tamaa ndio umeliwa
Mimi naisikia tuuu kuna dada kanisumulia nikaona nimsklze tuWameanzisha lini?
Usiingie kichwa kichwa kwenye vitu usivyovijua uwe unachukua muda wa kufanya utafiti kidogo ndio ujue uingie au uache.Mimi naisikia tuuu kuna dada kanisumulia nikaona nimsklze tu