Utapeli utapeli, ogopa namba hii.....



Asante kwa taarifa.Hutu tapeli Ana uhusiano na mke wa chagonja na baraka Marlo?
 
Hivi akili huwa mnaziweka wapi mkikutana na viroja hivi???
 
Napata wasiwasi mkubwa. Huenda hao matapeli wanashirikiana na wafanyakazi wa makampuni ya simu kupata taarifa za wenye namba mbalimbali. Huenda ndio wanakopata majina halisi. Hii ni hatari sana. Malengo ya kusajili namba za simu yamekuwa kinyume chake.
 
Asante kwa taarifa,ila kwa wizi huo wakijinga mimi hanipati abadan,hela yenyewe ngumu hivi halafu eti aje **** flani anitapeli kitoto hivi,kwangu wamenoa.
 
taarifa nzuri, lakini huo ni wizi wa kirahisi sana, kwa mtu makini lazima atashtuka tu.
Hivi ule mpango wa kusajili namba za simu uliishia wapi?

bado upo mkuu, onana na freelancers wa mitandao husika!
 
Huu ni utapeli wa kirahisi sana, hivi ni kweli huwa anapata wa kuwatapeli? Ni ujinga kutapeliwa hivi jamani.
 
Poa mkuu ila huo ni wizi ambao umeanza kupitwa na wakati. Kwa hali tulionao kwasasa, ukikubali kuibiwa namna hii basi utakuwa na matatizo!!!
 
last week nilimuuliza janu makamba swali kuhusu utapeli wa kutumia simu JF--> makutano show. Sijui kama maswali yangu yaliulizwa na fina
 
Mkuu na hii imetoka wapi...?
 
Kurudi nyumbani mama tunaona haaya, mikono
mitupu mama tutarudi vp,
tumepoteza miaka mingi mjini Dar Es Salaam
mama
Kweli pesa pesa inaleta maneno
Jama pesa pesa inapeleka watu jela Aayaaa ooh mama wowoooo nalia mieee


Life in town means more money, if you dont have
money you will suffer, if you dont have money
you'll never sleep, if no money you cant never eat,
you cant even wash your own clothes, pesa pesa
jama inaleta maneno, kweli pesa pesaa inapeleka
watu jela ayaa wouooo Mama yo yo yo nalia mieEe
 
is the tread with political aspects au nna makengeza siku hizi. anyway; nice to inform us babaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
is the tread with political aspects au nna makengeza siku hizi. anyway; nice to inform us babaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Msenyele vp? Mwitongo ametaja sababu ya kuuleta hapa ni kwa kuwa "watu wengi wanapita hapa" na hii ni dharura wanapaswa kuijua,sijui umemsoma?
 
Last edited by a moderator:
Hili zoezi la kusajili simu kwa Tanzania bado halijawa na maana kabisa na ni kama walipoteza muda tu. Usajili wa simu ulitakiwa ufuatane na vitambulisho vya urai na makazi, leseni za magari na anuani za makazi. Bila kufanya vyote hivyo basi ni kazi bure tu. Mtu akitaka kusajili namba yake ya simu lazima aonyeshe kitambulisho chake cha urai ambaco ni electronic na kiwe na taarifa zote muhimu. Ndivyo wenzetu wanavyofanya na kufanikiwa.

Agalia nchi za wenzetu nyingine hata laini haziuzwi kama njugu, kununua simu ni rahisi kuliko kupata lini ya simu. Zipo baadhi ya nchi pia haziuzi kabisa laini za simu kama Japan. Ukitaka simu Japan unapewa na lini tayari na inakuwa imesajikliwa.

Sasa Tanzania mtu anakuwa na laini hadi tano, kwanza ni za nini zote hizo? kama siyo dalili ya utapeli.
 
Asante kwa taarifa ila nadhani kabla haujatuma hiyo chapaa itabidi umkol huyo ndugu yako au umtext than kweli ama
 
Kuna mwingine alinitumia hivi

0652124003 PATA OFFER KABAMBE KUTOKA tiGO WEKA SH,5000 KATIKA AKAUNTI YAKO KISHA TUPIGIE SIMU NAMBA *101*0652124003*4999#OK UTAKUWA NA SH,10000 PAPO HAPO tiGO huyu alinitumia tarehe 2 sep 2012 saa saba mchana Nikamuambia huo uwizi ni wa kizamani sana na mimi pia huwa si uhusudu offer wala bahati nasibu...nitakuripoti kwa polisi na tigo...

Bahati yake sikuwa na muda ila kakoma maana alibakia kimya

Wadau hebu dadavueni hii namba imesajiliwa kwa jina Gani? 0652124003
 
Taarifa nzuri, lakini huo ni wizi wa kirahisi sana, kwa mtu makini lazima atashtuka tu.
Hivi ule mpango wa kusajili namba za simu uliishia wapi?

Serikali yetu siku zote in mipango zimamoto. Ule ulikuwa ni mpago hwewa kama zilivyo TUME hewa zinazoundwa na Serikali. Hazina utekelezaji daima.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…