Utapeli utapeli, ogopa namba hii.....

Mwitongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2009
Posts
312
Reaction score
362
Ndugu zangu, kuna matapeli yamneibuka yanatapeli kweli kweli. Anatumia namba 0716494277 kutapeli. Anachofanya ni kukutajia jina la ndugu au rafiki yako wa karibu. Anasema yupo kwenye semina, hivyo muwasiliane kwa meseji tu. Anasema ana ndugu yake ana matatizo, hivyo asaidiwe kiasi fulani cha fedha (mimi kanitaka nitume sh 35,000), na kwamba baadaye atakurudishia. Anataka fedha hizo zitumwe kwenda namba 0719020710. Kuna watu wengi sana wameshalizwa. Ukikutana na aina hiyo ya ujumbe utambue kuwa unaibiwa!!! Hizi njaa sasa zimevuka mipaka.
 
Sasa wewe mtu kakuambia yupo kwenye semina ,halafu anakuomba hela,.na wewe unampa, kwa semina za siku hizi hawalipwi pa dm..//kweli mtoto wa mkulima kakasirika
 
just like that nitume pesa....no way....
 
Sasa kama yupo kwenye semina ataendaje kuchua hiyo hela? na kama anatumiwa mtu wa karibu tatizo ni nini?
 
Ngoja nimtumie tigopesa aache utapeli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…