Mkuu hili suala ni kubwa sanaaa mimi huwa linanipa hasra sanaaa wanazingua sanaaa inabd kuliwasilisha tenaaa TCRA.King'amuzi cha startimes wamekuja na utapeli mpya wa kuwaibia watanzani,, it happened to me,, hapo kabla niliwauliza kuwa kwa mujibu wa tangazo la TCRA ni kuwa local channels zote ni bire lkn bundle likikata tu nazo zinapotea kwa nn? Jibu lao likawa natakiwa kupeleka Tsh, 30,000 ili ninadirishiwe card ambayo imeisha nikawauliza kadi si mali yenu ambayo mm nalipia bundle la furushi kila mwezi?, nikakatiwa simu, siku ingine nikawapigia na kuwaambia tatizo la kwanza na wakanijibu hivyohivyo nikawauliza kama card yangu inamatatizo na inatakiwa kunadirishwa ila mbona nikinunua bundle inakuwa sawa? nikakatiwa simu,, leo tar 09/08/018 nikakibeba mpaka ofisi zao za buguruni Lozana ili kupata jibu face to face,, wakaniambia kuwa tatizo sio card ila ni smart card inayowekwa ndani ndio natakiwa kuilipia sh, 20,000,,, nikawauliza nani anatakiwa alipie card? Nikafukuzwa na kuondoka,
Leo nimekuwa mpole kwa sababu mda wa kurudi ofisini naada ya lunch ulikuwa umefika lkn hawa wafanyakazi wa star times buguruni ni ovyo kabisa, unabishana na huyu anatoa jibu hili mwingine anatoa lingine, yaani wao kwa wao wanabishana,,, na nikagundua aliekuwa upende wangu anatumia hicho kidude chao ovyo na anajua uhuni wanaofanya,,, ila nawatafutia mwanasheria mzuri tufile case kwa reference za TCRA soon na kila tukio la leo nimelirecordMkuu hili suala ni kubwa sanaaa mimi huwa linanipa hasra sanaaa wanazingua sanaaa inabd kuliwasilisha tenaaa TCRA.
Acha ujinga, sio kwamba hawezi kulipia ila kwa mjibu wa sheria ya TCRA hizo chanel ni bure...kama hawawezi kutoa bure wabadilishe leseni iwe ya kulipia .Card unalipa wewe kila kitu mnataka bure unategemea kampuni iendeshwe na nini , Watanzania bwana kama huwezi hata kulipia elf 9 kwa mwezi si uachane na ving'amuzi tu ? tumia tu radio kila station ni bure..........
Wee kweli zwazwaCard unalipa wewe kila kitu mnataka bure unategemea kampuni iendeshwe na nini , Watanzania bwana kama huwezi hata kulipia elf 9 kwa mwezi si uachane na ving'amuzi tu ? tumia tu radio kila station ni bure..........
Nimekupa like mkuuAcha ujinga, sio kwamba hawezi kulipia ila kwa mjibu wa sheria ya TCRA hizo chanel ni bure...kama hawawezi kutoa bure wabadilishe leseni iwe ya kulipia .
Hii inaonyesha watanzania vile hamjui haki zenu....huyu jamaa alieenda Star times nampongeza sana kwa ujasiri wa kudai haki yake iliyopo kisheria.
Acha ujinga, sio kwamba hawezi kulipia ila kwa mjibu wa sheria ya TCRA hizo chanel ni bure...kama hawawezi kutoa bure wabadilishe leseni iwe ya kulipia .
Hii inaonyesha watanzania vile hamjui haki zenu....huyu jamaa alieenda Star times nampongeza sana kwa ujasiri wa kudai haki yake iliyopo kisheria.