Sina shaka na kufanyia kazi na kile kinachofundishwa
Tatizo...wanaweka mbele fedha,kiingilio,chai,soda na vitafunwa hivi vyote vinahitaji fedha(kimsingi hapo ndipo wanapopiga fedha) bado mtu hujatoa nauli kufika eneo husika...mbaya zaidi wanalenga watu wenye mitaji midogo isiyozidi sh.50,000/=.Wengine huenda mbali kwa kuuza fomu sh.10,000/=(si ndogo hii).
Hawa jamaa peponi hawatakwenda.
Ndio maana ng'ombe zao huzaa dume tu .