Ww ukitumiwa kwa ni lazma uwajibu? Si uwapotezeee? Wajinga ndio waliwao!Kuna huu utapeli ambao umezagaa sana mitandaoni wa kuwataka watu watume hela kwenye namba fulani, mara kuna mganga kanisaidia, mara nafanya biashara ya madini, kugawa bonus n.k.
Kweli kuna watu wametapeliwa na wanaendelea kutapeliwa. Hivi kwa nini mitandao ya simu na TCRA wasiweke utaratibu wa kutoa taarifa ya namba hizo kwa uchunguzi zaidi na hata kuziblock kila inapotolewa taarifa kuzihusu? Kwanza kuzuia miamala inayoingi namba hizo hisitoke.
Wakishajiridhisha hata kuitaarifu polisi wafuatilie na kuwakamata hawa watu.
Inabidi kifanyike kitu vinginevyo usalama wa mawasiliano haya ******* doa.
Binafsi nina namba hizi hadi wakati huu naandika
0623 510 939
0789 789 986
0764 326 731
0764 255 000
0625 344 806
Hapo kuna waganga
Wafanya biashara wa madini
Wa kutaka utumie hela kwenye namba zao.
Natoa wito kwa TCRA na Mitandao ya simu kufanya chochote ili kulinda watumiaji wenye nia njema.
Nawasilisha
Halafu miongoni mwa mitandao wanayotumia kutapeli ni voda na halotel.Voda na halotel kulikoni jamani mbona matapeli wachache wanawaharibia biashara nanyi mpo kimya tu?Kuna huu utapeli ambao umezagaa sana mitandaoni wa kuwataka watu watume hela kwenye namba fulani, mara kuna mganga kanisaidia, mara nafanya biashara ya madini, kugawa bonus n.k.
Kweli kuna watu wametapeliwa na wanaendelea kutapeliwa. Hivi kwa nini mitandao ya simu na TCRA wasiweke utaratibu wa kutoa taarifa ya namba hizo kwa uchunguzi zaidi na hata kuziblock kila inapotolewa taarifa kuzihusu? Kwanza kuzuia miamala inayoingi namba hizo hisitoke.
Wakishajiridhisha hata kuitaarifu polisi wafuatilie na kuwakamata hawa watu.
Inabidi kifanyike kitu vinginevyo usalama wa mawasiliano haya ******* doa.
Binafsi nina namba hizi hadi wakati huu naandika
0623 510 939
0789 789 986
0764 326 731
0764 255 000
0625 344 806
Hapo kuna waganga
Wafanya biashara wa madini
Wa kutaka utumie hela kwenye namba zao.
Natoa wito kwa TCRA na Mitandao ya simu kufanya chochote ili kulinda watumiaji wenye nia njema.
Nawasilisha
Hao huwezi kuwamaliza mkuu. Ukiblock namba 1 wanasajili nyingine. Wana mbinu nyingi tu.Kuna huu utapeli ambao umezagaa sana mitandaoni wa kuwataka watu watume hela kwenye namba fulani, mara kuna mganga kanisaidia, mara nafanya biashara ya madini, kugawa bonus n.k.
Kweli kuna watu wametapeliwa na wanaendelea kutapeliwa. Hivi kwa nini mitandao ya simu na TCRA wasiweke utaratibu wa kutoa taarifa ya namba hizo kwa uchunguzi zaidi na hata kuziblock kila inapotolewa taarifa kuzihusu? Kwanza kuzuia miamala inayoingi namba hizo hisitoke.
Wakishajiridhisha hata kuitaarifu polisi wafuatilie na kuwakamata hawa watu.
Inabidi kifanyike kitu vinginevyo usalama wa mawasiliano haya ******* doa.
Binafsi nina namba hizi hadi wakati huu naandika
0623 510 939
0789 789 986
0764 326 731
0764 255 000
0625 344 806
Hapo kuna waganga
Wafanya biashara wa madini
Wa kutaka utumie hela kwenye namba zao.
Natoa wito kwa TCRA na Mitandao ya simu kufanya chochote ili kulinda watumiaji wenye nia njema.
Nawasilisha
TIGO unaiachaje kwa mfano??? kuna mijizi imejificha humo ni balaa!!! Mitandao ya simu kunyamaza inamaanisha wanahusika vinginevyo wajiongezeHalafu miongoni mwa mitandao wanayotumia kutapeli ni voda na halotel.Voda na halotel kulikoni jamani mbona matapeli wachache wanawaharibia biashara nanyi mpo kimya tu?
Kuna jamaaa alitapeliwa na namba akaenda kushitaki polisi, kufika polisi wakasema huyu jamaa wanamjua na nitapeli sana, ashatapeli sana. Na jamaa wakamwambia anafanya uchunguzi mpaka Leo zaidi ya miezi 7.Lazima tuwaanike, tutawakomesha kwa kufanya hivi, hata tumlengeshe mmoja akiingia KINGI tunaye, ni kipondo cha mbwa koko tu..
Ukiwekwa utaratibu wa kutoa taarifa watashindwa bila kujali wanatumia namba gani. Ni kwamba kila namba itakayoshukiwa na kutolewa taarifa miamala yake inazuiliwa.Hao huwezi kuwamaliza mkuu. Ukiblock namba 1 wanasajili nyingine. Wana mbinu nyingi tu.
Dawa ni sisi wateja kuwa makini tuachebkutapeliwa kizembe mwisho wakiona biashara hailipi wataacha tu hizi njia.View attachment 774575