[emoji23][emoji23][emoji23]Matapeli yanapambana sana,yaani huu muda hawa jamaa wangeutumia lab nadhani ukimwi ungekuwa umepata dawa
Yan hawa jamaa nasikia huwa wanafanya hadi mikutano kisiri kubadilishana mbinu,kikubwa tuwe makini nao.Matapeli yanapambana sana,yaani huu muda hawa jamaa wangeutumia lab nadhani ukimwi ungekuwa umepata dawa
Na mimi nasubiri jibu hapa.Kwahiyo wanauwezo wa kuhack sysytem ya utumishi na kujua details hizo?! Au kuna watu wako ndani wanapiga mishe
Kaka mi mtoto wa mjini nimepona ila nusu waniweke kwenye 18 zao.
Mmoja akanipigia simu anasema kuna kazi Geita Gold Mine ya store keeper nipeleke mtoto mshahara milioni 1. Akakataa kunipa details akataka niache aongee na kijana mwenyewe. Nikajua tayari ni wenyewe. Nikajitoa kimya kimya.Pole sana mkuu, kwa hiyo wamefanikiwa kukujeruhi? ila tunakushukuru kwa kuutarifu umma wa wafanyakazi..mkuu grisi..! hiyo ni grisi.
tafuta pia "angel of the dark"Memories of midnight- Sydney Sheldon
tafuta pia "angel of the dark"Memories of midnight- Sydney Sheldon