Watu wengi wameishatapeliwa kwa njia hiyo, so be cautious!
Hakuna kitu cha namna hiyo....huo ni utapeli kama kampuni inaona unahitaji kuongeza elimu ni jukumu lao kulipia sio wewe..... kama vp waambie wakupe kazi hiyo 30,000 watakukata kwenye mshahara kama utawasikia tena!!.....
Thanks nia yao kutapeli coz walitoa nafasi nyingi sana ili wapate watu wengi wa kuwatapeli nimewajibu kwa email kuwa sina 30000 naruhusiwa kupost mkataba bila postal order ya 30000 nataka nione watanijibu nini.
Walikujibu?Thanks nia yao kutapeli coz walitoa nafasi nyingi sana ili wapate watu wengi wa kuwatapeli nimewajibu kwa email kuwa sina 30000 naruhusiwa kupost mkataba bila postal order ya 30000 nataka nione watanijibu nini.