Utapeli hatari waibuka kupitia mitandao ya simu

Daah bahati yako ungepigwa! unafanya process zote hizo wakati jamaa yako hajawasiliana?..trust no one mzee, mambo yamebadirika.
 
Daah bahati yako ungepigwa! unafanya process zote hizo wakati jamaa yako hajawasiliana?..trust no one mzee, mambo yamebadirika.
Ujue nini? Waweza kuamini kutokana na kusukumiziwa mi'ela kwenye account. Kwamba atakuwa ni yeye, sababu mtu msiyefahamiana hawezi kuingiza pesa kijinga namna hiyo.
Kumbe hela hiyo ni shoo, wanakuwa wameiingiza na kuiblock muda huohuo, wewe unabaki tu na kivuli cha tarakimu kwenye account yako.
Nilikasirika, unajua kukasirika! Hadi nilitetemeka.
Kisirani changu ingawa nilikificha, walikibaini na kiliwaokoa kwakuwa nilitoka chumbani amani sina, ingawa niliigiza furaha bandia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…