Kandambilimbili
R I P
- Nov 11, 2008
- 782
- 43
Jamani we need not to generalize. Huduma za ATM katika nchi nyingi za ulaya ni bure endapo unachukua pesa kwenye ATM ya banker wako. Ukichukua pesa kutoka kwenye ATM ya benki tofauti (Nchi nyingi za ulaya ATM zinaingiliana na unaweza kuchukua pesa kutoka ATM inayomilikiwa na benki yoyote) then kuna charge ya Euro 1 na wanakutahadharisha kabisa kabla haujaendelea kuchukua hiyo hela kwamba kutakuwa na charges.
Kwa hiyo wanaosema huduma ya ATM sio bure inategemea wanazungumzia ATM za wapi!!!!
Tiba
Mkuu Mkereme,
Ulichofanya ni kupigilia msumari wa mwisho katika ubao wa maelezo.
Nilikuwa ninataka ni kumkuchulia taratibu ndugu yetu Abdulhalim ili nimpe somo linalohusu PRICING na kumuelewesha how HIDDEN cost zinavyohusika katika Pricing process.
Lakini nadhani maelezo uliyoyatoa ni mepesi sana kwa mtu wa kawaida kuyaelewa, na ni matumaini yangu kuwa ameelewa kwamba hakuna bure au free lunch. Abdulhalim anasahau kuwa pesa yake iliyopo benki ndiyo biashara ya benki. Interest anayopewa mteja wa saving account ni net ya gharama zote za uendeshaji wa benki plus faida nono. Kwa hiyo basi instead of getting Shs 100 mteja huishia kupata Shs 20 then anadai kuwa anapewa huduma ya bure. Biashara za huduma huweka msingi wa kutengeneza faida kupitia hidden cost wakati wanapotengeneza bei zao.
Moja ya matatizo ambayo huwakumba watanzania wenzetu hasa wale ambao huwa wanatuwakilisha katika negotiations mbalimbali, hupigwa bao katika kipengele hiki. Kwa mfano muuzaji wa mitambo ya umeme anakupa bei labda ya kukuuzia mitambo wa hiyo and the sametime anakwambia na nitakupa na wataalam wa kuisimamia hiyo mitambo bure kwa mwaka mzima, halafu nitakupa ofa ya kuwafundisha mafundi wako hapa kwangu kwa muda wa mwaka mzima at a half price lakini utawalipia gharama za malazi na chakula. Kwa harakaharaka tunakimbilia kuwapa kazi ati tu kwa sababu atatupa wafanyakazi wake bure kwa mwaka mzima, atatufundishia wafanyakazi wetu at half price...in fact bei uliyonunulia mitambo hiyo tayari ilikwisha cover gharama zote, halafu unamwona mtu anakuja kifua mbele...tumepewa huduma nyingine bure!!!!
Unachosema ni sahihi, lakini ni kwamba kama wewe una akaunti kwenye benki ambayo unatumia ATM yao ni kuwa tayari wana advantage ya kuitumia ile pesa yako katika kuizalisha na pia kuweza kufidia gharama za matumizi ya ATM. Kwa kawaida katika faida inayopatikana katika kuzalisha kwa kukopesha akiba zinazowekwa na wateja ndiyo pia hapo benki hutoa gharama za matumizi ya ATM. Kwa hiyo basi badala ya kuwapa wateja faida zaidi wanatoa gharama ATM, gharama zingine pamoja na faida then amount inayobaki ndiyo wanayopewa wateja kulingana na interest rate.
Unachosema ni sahihi, lakini ni kwamba kama wewe una akaunti kwenye benki ambayo unatumia ATM yao ni kuwa tayari wana advantage ya kuitumia ile pesa yako katika kuizalisha na pia kuweza kufidia gharama za matumizi ya ATM. Kwa kawaida katika faida inayopatikana katika kuzalisha kwa kukopesha akiba zinazowekwa na wateja ndiyo pia hapo benki hutoa gharama za matumizi ya ATM. Kwa hiyo basi badala ya kuwapa wateja faida zaidi wanatoa gharama ATM, gharama zingine pamoja na faida then amount inayobaki ndiyo wanayopewa wateja kulingana na interest rate.
Mkuu,
Kama this was true na ulikuwa serious na huo mkopo ulichukua hatua gani?
I terminated my loan progress. That manager wanted 10% from any deposited money for nothing.
Nimewauliza mara zaidi ya 6 kuhusiana na tarehe ambapo wanalipa interest rate kwenye hizo account wakasema end of financial year... Nilipowauliza hiyo financial year ya abank inaanza na kuishia lini hakuna anayejua...
Hivi mmekwisha note utapeli katika benki hii hasa katika charges wanazotoza kwa wateja hasa wenye kadi za VISA.
ukitaka kujua wizi huu,jaribu kuomba taarifa fupi ya account yako utashangaa kuona yafuatayo
ATM charge.........350/=
ATM Monthly Charge......350/=
ATM Widhraw charge.......350/=
Monthly Charge.............500/=
Na kuendelea
Hebu tutajie huduma gani za msingi ulizokuwa ukizipata bure?
Kuweka na kuchukua pesa.
Abdulhalim,
Mimi nipo kwenye nchi moja hapa Ulaya. Kama ulivyosema huduma za kuweka na kuchukua pesa kwenye kaunta au ATM za benki yao ni bure ila ukitumia kadi yako ya VISA kununua vitu dukani wanakukata kama T.Shs 400 kila unaponunua.
Nikirudi kwenye pointi ta Pundamilia pia kuna ukweli wake kwani mwisho wa mwaka wanakukata kama T.Shs 50,000 ambazo ni karibu T.Shs 4200 kila mwezi. Kwahiyo ni ujanja tu wa kuendesha biashara kwa haya mabenki.
Mkuu Pundamilia,
Tuko pamoja katika hili. Maelezo yako hapo ni sahihi na ndivyo benki zinavyo fanya kazi na kutengeneza faida. Kinachogomba hapa kutokana na mleta mada ni hizi charges ambazo zinaonekana moja kwa moja kwenye statement zikiwa na majina tofauti!!!! lakini kwa huduma ile ile??????
Tiba.
I terminated my loan progress. That manager wanted 10% from any deposited money for nothing.
Vyema,mchango wako umeeleweka.
Kitu ambacho ndg Pundamilia anachong'ang'ania ni kuwa kila akaunti lazima ulipie makato duniani kote, kitu ambacho si kweli. Kama ulivyoeleweka hapo juu ni kuwa inategemea na huduma unayoitumia..mimi binafsi nilikuwa nikitumia basic services za kuweka na kutoa fedha free of charge through respective bank's ATMs. Ni free na sikuwahi kulipia hata senti tano! Hata credit card ni free! Utakapo-step-out kwenye services za ziada hapo ndio unalipia.
Sasa jibaba linapokuja hapa na kuanza kung'ang'aniza vioja kuwa hoja huwa sina cha kuwafanya ila kuwaacha wajifariji, wanadhania wanachojua wao ndio exclusive na final, kumbe ni kuji-embarass mbele ya kadamnasi.
Mwalimu anapofundisha kuna baadhi wataelewa na kupata 100% na pia kuna wengine hupata 0% hilo ni jambo la kawaida mkuu.
Somo nimekwishalitoa kwahiyo kama hukuweza kupata 100% mimi sina msaada zaidi ya hapo take your 0% then uangalie wapi umekuwa mgumu wa kuelewa. Probably, check your background, inawezekana labda wewe unajua kila kitu hadi umepitiliza kwa ujuaji wako.
Kwaheri!
Sijawahi kuona bank inayo charge fee kwenye ATM,I mean kama una accoutn na hiyo bank na uanenda kwenye ATM yao there is no way wakaku-charge any fee,unless otherwise unatumia ATM ya bank ambayo ni tofauti na ile unayo bank wewe.
Kwa mfano right una account na Bank of america na unataka kutoa pesa na upo kwenye ATM za citi group of course citi group wata kucharge ATM fee yao lakini kama una withdraw money within ATM za bank of america na ww ni mteja wa bank of america hakuna fee period.
kwa hiyo wanaringa kwa ajili hamna competitionAcheni hizo, jaribu kufanya research mjue hapo mwanzo wakati ATM zinaingia mambo yalikuwaje?????????
Sometimes kinachotokea kwetu na huko mnakotaka tufanane nako inategemea na level ya competition na kama hao jamaa wameisharudisha garama zao za KUSIMIKA hizo ATM, THERE MUST BE some reasons!!!!!!!
Si kwamba unafanya zile transaction free. Hawa wenye mabenki hata huku nje wanatechnique zako kuna wengine wana monthly charges regardless the number of withdrawals made during the period, wengine quarterly, Kwahiyo charges zipo kwasababu zile machine zinahitahi services kwa operations na uwezo uwepo wa kununua nyingine zikichoka na zimake profit pia. Kwahiyo costs haipukiki. Ila kwa bongo ni too much. Nakumbuka kuna wakati machine za NBC zinatoa 5,000 tu na kama unahitaji pesa nyingi max 150, 000, kwahiyo unadraw mara nne na transaction costs nazo zinakuwa mara nne. Honestly huu ni wizi. They should, I think have a certain fixed costs regardless of drawings made. Though this might comprise low salaried/income groupsSijawahi kuona bank inayo charge fee kwenye ATM,I mean kama una accoutn na hiyo bank na uanenda kwenye ATM yao there is no way wakaku-charge any fee,unless otherwise unatumia ATM ya bank ambayo ni tofauti na ile unayo bank wewe.
Kwa mfano right una account na Bank of america na unataka kutoa pesa na upo kwenye ATM za citi group of course citi group wata kucharge ATM fee yao lakini kama una withdraw money within ATM za bank of america na ww ni mteja wa bank of america hakuna fee period.
Acheni hizo, jaribu kufanya research mjue hapo mwanzo wakati ATM zinaingia mambo yalikuwaje?????????
Sometimes kinachotokea kwetu na huko mnakotaka tufanane nako inategemea na level ya competition na kama hao jamaa wameisharudisha garama zao za KUSIMIKA hizo ATM, THERE MUST BE some reasons!!!!!!!