Namfahamu huyu dogo na kampani yake walikua pale nje ya ubungo terminal wamepanga kimodemo hotel walikua na demu mmoja anaitwa regina yaani waliwachukulia watu hela nyingi wakawa wanawapa training ya research ambayo haikuwepo na huyu demu ndo alikua anachukua hela kuanzia laki 2 na kuendelea ili ujoin na hiyo project baada ya kama mwezi wakasepa na kuwaacha watu kwenye mataa lakini nikasikia regina kakamatwa yupo mabatini police k/nyama sijafatilia picha iliishaje..kama wanaendelea na utapeli basi watakua wameshindikana!!