Utapeleka nini makumbusho hii?..

vituko haviji kuisha. kama kweli hiyo makubusho IPO ni ubunifu mzuri na itakuwa na visitors wengi sana kwa sababu hiyo ishu inagusa maisha ya wengi. Tutaenda kujifunza mengi kuhusu mahusiano ya watu na namna yalivyovunjika
 
Nitapeleka chupi na sidiria, maana ndivyo nilivyoachiwa na demu wangu fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…