Kuna mzee mmoja yeye dereva daladala. Kahangaika zake hukoo mchana kutwa, akaamua kumpa mwenzie day waka. Ila njiani alinunua Singlend avae sababu dar joto, akauze sura kwa wacheza bao wenzie kijiweni.
Kafika home katoa singlend kuivaaa haimtoshi imekuwa kama kitopu kitambi chote kipo, nje. Mtoto wake mmoja bishooo bishoo akamuon mzee pale sebureni akipandwa hasira kisa nguo haija mtosha.
Baada ya mzee kwenda nje (Toileti) na kuacha singlend ndan dogo akaitesti. Akarudi mambo yakawa hivi.
Dogo; (kwa tabasamu) baba ona mimi nimevaaa inantosha.
Mshua; (kakunja sura hatari) nani ka sema uvae.
Dogo; Baba naomba mimi basi niwe naivaaaa.
Mshua; Acha use.nge usipende vya kupewa mjini hapa utafanywa.