Maelezo ya tpmazembe ni sawa. Ili upate msaada zaidi, hebu funguka - yamechimbwa kutoka sehemu gani hapa nchini? Ukijua source, ni rahisi kujua aina. Kwa ushauri zaidi, hebu yapeleke aidha Madini Kunduchi pale watakupimia na kukupa jibu sahihi au nenda Tanzania Minerals Agency (TMA),nadhani wako Mikocheni Area, hawa ni wakala wa Serikali watakusaidia kujua ni aina gani, thamani yake hata kukukunganisha na wanunuzi. Kwa maelezo zaidi ni PM.