Utalii wa ndani

bbc

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2016
Posts
3,835
Reaction score
4,152
Nilienda mkoa wa Songwe (mojawapo ya mikoa ya nyanda za juu kusini) nikaamua kwendaona KIMONDO. Wenyewe wasema kina uzito wa "16 metric tons"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilienda mkoa wa Songwe (mojawapo ya mikoa ya nyanda za juu kusini) nikaamua kwendaona KIMONDO. Wenyewe wasema kina uzito wa "16 metric tons"View attachment 847626

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana mkuu kwa kutembelea vivutio vyetu. Naomba kufahamu zaidi historia yake vitu kama kilianguka lini, kilileta uharibifu wowote au mabadiliko yoyote ya kijiografia hapo na gharama za kutembelea hapo zikoje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru. Kiligunduliwa mwaka 1930 na hapo kilipoangukia hakikuleta uharibifu / madhara yoyote. Kutembelea hapo hakuna gharama kubwa, sana sana usafiri wa kufika Mkoani Songwe. Kipo kati ya miji ya Mlowo na Vwawa. Ukiwa "interested" naweza kukutafitia namba za hao wanaokitunza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…