Shukurani za dhati ziende kwa viongozi wote wa Tanzania wanaoitangaza nchi yetu vizuri na pia tunawashukuru uongozi mzima kutoka Wizara ya Mali asili na Utalii Tanzania ukiongozwa na Waziri Mh. Hamis Kigwangala.....Watalii wanafurahia kutalii Tanzania sambamba na huduma zenu na mikakati yenu kama wizara. Karibuni tena wageni wetu.
#TanzaniaNiNchiYaAmani
#TumebarikiwaVivutioVingiVyaUtalii
#UtaliiTanzania
#TuimarisheUtaliiWetu
#NchiYngKwanza