Utajutaje!

Chezea milima ya usambaa weye, hapo alipo kisha fyatua sosage anaomba msaada wasamaria wamuokoe
 
Sehemu ya mazingaombwe, ikitua chini inakuwa mpya
 
Pengine kwa kihoro ameshapoteza maisha tayari huko huko juu
 
Stage iliyopo baada ya sekunde tu yanachomoka mabawa na jet engine mbili inakua ndege!
 
''i believe ican fly....i believe can touch the sky''
 
Ningekuwa mimi hapo, yani hata kabla ya kufika chini.... nishakufa zamaaaaaaniii..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…