Hakuna njia yoyote ya kutambua kama ame-do au haja-do, kiukweli endapo wanadamu tungekuwa wahalisia na kushikilia imani zetu basi hakuna ambae ange-cheat kwny mahusiano yake, kilichopo ni kwamaba wanadamu tumejisahau sana na hatimae tunaishi maisha km wanyama, tumekuwa tukiendeshwa na hisia na si utashi wetu binafsi!