Wakuu naomba niwasilishe hoja hii!.......
Naomba waungwana naomba msaada wa mawazo yenu utamtambuaje kuwa huyu leo kado au hakudo?
.....
Utamtambuaje? Soma hapa chini:
- atachelewa kurudi nyumbani kama kado after 5:00pm
- atawahi kurudi nyumbani kuliko kawaida kama kado during working hours
- atakulete ma-zawadi kibao kama kado bila kufarahi "play"
- ataonyesha kuwa na mawazo mengi kuliko kawaida kama kado bila kinga
- atakuwa "busy" na michezo ya TV hata ambayo hajawahi kuiangalia
- atakuwa amepauka usoni (kama alipata shower after the "play")
- atakuwa na abnormal manukato kama kado kwenye gari
- hatapenda ku-kumbatia kama mnayo mazoea kama hayo atakapoingia
- hatapenda kucheza na watoto kabla ya kuingia bafuni
- on extreme cases "ataingia bafuni moja kwa moja" atakapofika na uchelewa sana kutoka bafuni
- anaweza kushindwa kupata mlo wa usiku kwa kusingizi kwamba hajisikii vizuri na hivyo "a cup of coffe" will do
- mtakapo lala husinzia hata kabla wewe hujamaliza kuoga
e.t.c......