Ukiona unajiita jina lolote Unconsciously linakuwa lipo kiroho
- Mapato ya Wachimbaji madogo yameongezeka mara nne (4): Mwaka 2021/22 wakati Rais Samia anaingia madarakani wachimbaji wadogo wa madini walichangia 20% tu sawa na TZS 124.6bn kwenye mapato yote yatokanayo na madini yaliyofikia TZS 623bn wakati huo sekta ya madini ilichangia 6.8% kwenye pato la Taifa GDP, Mwaka 2024/25 mapato yatokanayo na madini yalifikia TZS1.6 Trilioni wakati mchango wa wachimbaji wadogo kwenye mapato yote yatokanayo na madini umefikia 40% sawa na TZS 640bn ikiwa sekta ya madini imechangia kwa 10% kwenye Pato la Taifa GDP.
kafanya kaosa gani hapo?Ukiona unajiita jina lolote Unconsciously linakuwa lipo kiroho
Unaweza kuangalia jina lako na unachoandika it is sound Crazy.
Another empty coconut carrying something called head .kafanya kaosa gani hapo?
Usalama kwenye maeneo hayo ya wachimbaji wadogo upoje...na hali ya matumizi ya madawa ya kulevya ipoje? Ama ni changamoto ndogo zinazotatulika?a TZS 640bn ikiwa sekta ya madini imechangia kwa 10% kwenye Pato la Taifa GDP.
Jamaa wanajilinda wenyeweUsalama kwenye maeneo hayo ya wachimbaji wadogo upoje...na hali ya matumizi ya madawa ya kulevya ipoje? Ama ni changamoto ndogo zinazotatulika?
Another innocent neck carrying a rotten pumpkin head
mama anatishaaa
- Mapato ya Wachimbaji madogo yameongezeka mara nne (4) Mwaka 2021/22 chini ya Rais Samia.
- wakati Rais Samia anaingia madarakani wachimbaji wadogo wa madini walichangia 20% tu sawa na TZS 124.6bn kwenye mapato yote yatokanayo na madini yaliyofikia TZS 623bn wakati huo sekta ya madini ilichangia 6.8% kwenye pato la Taifa GDP,
==
- Mwaka 2024/25 mapato yatokanayo na madini yalifikia TZS1.6 Trilioni wakati mchango wa wachimbaji wadogo kwenye mapato yote yatokanayo na madini umefikia 40% sawa na TZS 640bn ikiwa sekta ya madini imechangia kwa 10% kwenye Pato la Taifa GDP.
wewe ni kichaaaa kabisaMumeo naye pato lake limeongezeka?
Kwanini dada angu?wewe ni kichaaaa kabisa
Karibu mkuuIla wewe CHADEMA unafanya kazi gani?
Hajui chochotekafanya kaosa gani hapo?