myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,136 May 9, 2023 #21 Achunguzwe kwa kutolipa bonus!! Utajiri wake unatuhusu nini? Makubaliano na Simba ndio la kafatiliwa lakini utajiri wake sio..
Achunguzwe kwa kutolipa bonus!! Utajiri wake unatuhusu nini? Makubaliano na Simba ndio la kafatiliwa lakini utajiri wake sio..
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 25,094 Reaction score 27,182 May 9, 2023 #22 Lloyd Munroe said: Lofa kweli wewe Click to expand... Lofa ni wewe unayetegemea kusikiliza kwanza Kigwangwala amesemaje ndio uje kutoa maoni
Lloyd Munroe said: Lofa kweli wewe Click to expand... Lofa ni wewe unayetegemea kusikiliza kwanza Kigwangwala amesemaje ndio uje kutoa maoni
Tareek Azeez JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 14,381 Reaction score 35,852 May 9, 2023 #23 Lupweko said: Lofa ni wewe unayetegemea kusikiliza kwanza Kigwangwala amesemaje ndio uje kutoa maoni Click to expand... Sasa ndugu Moo unakasirika nini ? Na wapi umeona namsubiri HK nije nitoke maoni. Au hujaelewa nilichoandika ndugu Mudi ?
Lupweko said: Lofa ni wewe unayetegemea kusikiliza kwanza Kigwangwala amesemaje ndio uje kutoa maoni Click to expand... Sasa ndugu Moo unakasirika nini ? Na wapi umeona namsubiri HK nije nitoke maoni. Au hujaelewa nilichoandika ndugu Mudi ?
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,347 Reaction score 62,353 May 9, 2023 #24 Hata huyo Gsm ni suala la muda tu timu zinaendeshwa kihasara
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,255 Reaction score 103,407 May 9, 2023 #25 Kwa ufupi ni kuwa mashabiki hawana mchango Simba