Eti eeh?? Inabidi na Dalali pia aonje kwanza mitandao yote kabla ya kumpa boss maana boss asije kulaumu nimempa kimeo nkapoteza ajira yangu ya kudumu, upo Tayar?
Roger That I'll email You !
Or through JF PM space, though tommorrow nina game na star flan wa Bongo Movie !
Miye mzima shosti, maswahiba ya dunia tu ndo yalinikuta ila nimerudi.
Hilo dogo Sana labda Kama kuna lingine
hilo sharti mbona dogo.............. ukienda dubai usinisahau best
Miye mzima shosti, maswahiba ya dunia tu ndo yalinikuta ila nimerudi.
hahaa Bingo muvi wana raha........ ni mwendo wa game kwenda mbele
ile kitu yako uliongeza au ndio neema za Allah
biashara natangazo..........
Utajiri wa Hawa Ma Star nikupata Bwana mwenye Pesa !
:closed_2:
Maneno tu hata bungeni yapo, sitak ujifagilie kabla watu hawajal mzigo.
can I edit please.................. au napo tutahitaji kura za maoni
Shukrani ! Ila Shosti wako Atakusimulia !
Asipokusimulia ujue kapoteza fahamu au Uhai kabisa !
Maneno tu hata bungeni yapo, sitak ujifagilie kabla watu hawajal mzigo.
Hahhhhahahhha kwelii itakua ni Neema za Allah hizooo???lolllll
Nitanzaje kukusahau dear...utaagiza anything you want
Maneno tu hata bungeni yapo, sitak ujifagilie kabla watu hawajal mzigo.
ngoja niandae list kabisaaaaaa