Utafiti: Walevi wanalindana maofisini

hakuna Umoja wenye nguvu duniani kama wa walevi, popote pale yaani kingekuwa chama cha siasa wangekuwa wanashindda kila kukicha. ukitaka kukosana na walevi hata humu JF jaribu kuanzisha uzi wa kuwashambulia one Moto wake
 
Walevi tunapeana hizo chance ili tuende kuweka heshima bar😁
#hatuna_weak_link sisi😁
 
Kwahyo bro kwa mimi ambaye sinywi pombe si nitateseka huko ofsini ?

maana ukicheki company nyingi za kiumeni , urafiki wa faida na connection nyingi zinapatikana bar
Sio lazima ulewe Sana unaweza ukaenda bar na boss ukamchukulia bia zake tano wewe ukanywa mbili taratibu hawezi kuku force ulewe
 
Mi mwenyewe binafsi Sina urafiki na mtu ambae apigi pombe, wasiokunywa pombe wana roho mbaya na mostly Ni wachawi, halafu ukiwa na shida ukimfuata mlevi ni rahisi kukusaidia kuliko Hawa wanaojitia utukufu bandia
 
Mkapa ni mlevi?
Mkapa alikuwa anakula ma wiskey makubwa na kabla hajanywa alikuwa anapenda Sana kula nyama ya bata... huwezi amini nyama aliyokuwa anakula yeye wewe ukipatiwa huimalizi..it was so great kufanya naye kazi mtu mzuri Sana ila wasaidizi wake walikuwa na kazi kubwa anyway nisiseme mengine.
 
Ogopa Sana mtu ambae hatumii pombe. Tena ogopa zaidi mwanaume ambae hatumii kilevi, ni watu ambao hawana shukran na wabinafsi Sana.
 
Tunapenda kamnyweso..x2
 
Acha tulindane tu . Kwanza walevi ndio waudhuriaji wazuri wa shughuli za kijamii Kama misiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…