Kuna pombe inaitwa ambulance[emoji26]Ambiance changanya na apple punch.....k vant changanya na sprite
Ambiance vs Ambulance.Kuna pombe inaitwa ambulance[emoji26]
Guinness Smooth na mix na nini bro?Ambiance changanya na apple punch.....k vant changanya na sprite
Nilikua sehemu na jamaa mmoja akawa amelewa,akamwambia demu mmoja aisee we dada sikupatii picha ukikata gogo, litakua jeusi Kama mkaa 😁😁,maana wanywa hio kitu wote wanalalamikia Jambo Hilo.Guinness Smooth na mix na nini bro?
Kwahyo bro kwa mimi ambaye sinywi pombe si nitateseka huko ofsini ?Ni sahihi ..kingine walevi NI watoaji wazuri hawapendi kupata furaha peke Yao...ila wanywa Soda siwafagilii imagine mtu kapata per diem huko au semina halafu hata kunipa elfu kumi inakuwa kipengele...ila mlevi mwenzako hachelewi kukwambia twende kiwanja tukapate bia kule akifika Mara nyama choma....kwanini usimpende
Uko sahihi.Mimi nina zaidi ya miaka 25 kazini.Aisee upo sahihiHabari zenu.
Mimi ni mtumishi wa serikali Kwa miaka 17 sasa. Kwa muda wote niliofanya kazi nimegundua mengi sana maofisini.
Ifauatayo ni orodha ya namna walevi wanavyolindana maofisini:
1. Bosi mlevi hupendelea wafanyakazi wenzie walevi ktk vifursa. (Sensa walevi wengi waliweka walevi wenzao)
2. Ukifanya kosa wewe usiekunywa linakuwa kubwa.Akifanya mlevi ni dogo na halitafanyiwa kazi(Mlevi mmoja aliishi na mwanafunzi kingono na bado alipewa uongozi).
3. Semina nyingi bosi mlevi atawapendelea kwanza walevi wenzie.
4. Mengine ni ukabila udini na kujuana.
Ongezea,