Namshukuru Mwenyezi Mungu tumefungua Utafiti wetu wa dawa ya 4A9, Tunawakaribisha wanataaluma wote duniani. vile vile tumeanzisha kipindi cha JITAMBUE kinachorushwa Africa TV siku ya Jumanne saa kumi na nusu. kwa mawasiliano zaidi unaweza piga namba: 0787677215.