Utafanyaje kuhusu hili?

Huo ni ugonjwa na zipo dawa zakuzuia tatizo hilo
Cc MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Mpeleke hospital utakuwa ugonjwa
Kwa mida hii agiza pampers za wakubwa
 
Mwekee nailoni/lailoni chini ya shuka asije haribu godoro
 
Naona kuna tatizo hapa na mtoa mada anashindwa kuwa muwazi na matokeo yake anaambulia majibu yenye masihara badala ya majibu yenye kutatua tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…