Itakuwa wewe unapenda Sana kwenda pm za warembo DabyKuna mitandao kama skype..whatsap video calling napenda kuitumia saana. Lazima nikuone sura.
Ha ha ha ha Afisa muajir kwenye ubora wako, mbinu zote unazijua..Kuna mitandao kama skype..whatsap video calling napenda kuitumia saana. Lazima nikuone sura.
Njia unayotaka kupita imefungwaNipo njiani nipokee super women 2
Nani kakuambia napitaga njiani.Njia unayotaka kupita imefungwa
Wewe sio MTU ni.....Nani kakuambia napitaga njiani.
Utashangaa nipo ndani tu
Utawajua tu wahusika [emoji4] [emoji111]Kuna mitandao kama skype..whatsap video calling napenda kuitumia saana. Lazima nikuone sura.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha mbali kweli kuna kaka mmoja alimpata demu kwenye mitandao hivyo hivyo demu alikuwa kijiji basi akamtumia nauli aje ....kufka ubungo jamaa akakaa sehemu kampigia uko kwa wapi na umevaaje ktk kufuata maelekezo ya demu akamuona anakwambi demu alikuwa na mbegi huo km ndiyo anahamua moja kwa moja....sasa alikuwa na rafiki yke ikabid. Ampasie rfk yk hadi leo anaishi kwa huyo mshikaj sema kilichomuokoa huyo demu alikuwa mzurii ...sema aliyekuwa akimtaka huyo dada alitaka amgonge atembee zake alivyomuona na ule mbegi akajua ohoooo anataka kuhamia kbs....[emoji23] [emoji124] [emoji115]siri ya ushindi ni kumuoa adui kabla ajakuona, hakikisha pale mmepanga kuonana unawahi kumuoa ili ujue ni mzuri, ndugu ama miguu ya kushoto umwache ama uendelee nae.
NB:nilisha mwacha mtu stendi baada ya kumuona ni masudi tofauti na picha alizo nitumia. mambo ya mtandao hatari sana.