Nina uhakika ukitoka ndotoni utabadili kauli yako.Habari wadau,
Natabiri kuwa huu ni msimu mwingine tena kuendelea kuona rekodi zikivunjwa na kuwekwa na Real Madrid pamoja na Christiano Ronaldo.
Madrid wameweka rekodi ya kutetea kombe la Uefa,pia ndani ya misimu minne wamelichukua mara tatu.
Sasa basi msimu huu wanalieba tena na kuendeleza rekodi ya timu pekee kuchukua mara tatu mfululizo halafu ndani ya misimu mitano itakuwa imechukua mara 4, what wonderful it is?
Sawa Messi atanyakua kombe la La Liga pamoja na kiatu cha ufungaji bora lakini Christiano atanyanyua la Uefa na kuwa mfungaji bora,na hili ndilo litakalomfanya kuwa mchezaji wa kwanza kuchukua Ballon d'or nyingi zaidi.
Ronaldo ni wa Uefa na Messi ni wa La Liga.
Umesema sahihi kuwa game bado iko wazi, ila umeshindwaje kumjumuisha bingwa mtetezi kwenye kulibeba kombe?kumtoa psg ndo unadhan madrid atachukua uefa ? yule kocha wa psg hajielewi, ana wachezaji wazuri lakini ameshindwa kuwaorganize, huwa anabahatisha kupanga kikosi, ataishia kuchukua league one tu...
back to the topic, uefa ya mwaka huu bado iko open kina bayern, barca man city wako vizuri... kati ya hizo timu tatu mshindi atatoka hapo.....
mark my words....
Umemaliza Mkuukumtoa psg ndo unadhan madrid atachukua uefa ? yule kocha wa psg hajielewi, ana wachezaji wazuri lakini ameshindwa kuwaorganize, huwa anabahatisha kupanga kikosi, ataishia kuchukua league one tu...
back to the topic, uefa ya mwaka huu bado iko open kina bayern, barca man city wako vizuri... kati ya hizo timu tatu mshindi atatoka hapo.....
mark my words....
Ulitaka umpige au cjaelewa ulitaka umpingesikupigi
usimsahau Liverpoolkumtoa psg ndo unadhan madrid atachukua uefa ? yule kocha wa psg hajielewi, ana wachezaji wazuri lakini ameshindwa kuwaorganize, huwa anabahatisha kupanga kikosi, ataishia kuchukua league one tu...
back to the topic, uefa ya mwaka huu bado iko open kina bayern, barca man city wako vizuri... kati ya hizo timu tatu mshindi atatoka hapo.....
mark my words....
Madrid ni shida bob...kumtoa psg ndo unadhan madrid atachukua uefa ? yule kocha wa psg hajielewi, ana wachezaji wazuri lakini ameshindwa kuwaorganize, huwa anabahatisha kupanga kikosi, ataishia kuchukua league one tu...
back to the topic, uefa ya mwaka huu bado iko open kina bayern, barca man city wako vizuri... kati ya hizo timu tatu mshindi atatoka hapo.....
mark my words....
Jana mbali na Madrid kung'ara,huyo Ronaldo utafikiri ndio kwaaaaanza ana miaka 25 hilo balaa alilokuwa analifanya.nakuunga mkono na mguu mtoa Post.
Madrid hana cha kupoteza sasahv ktk UEFA.
mana katika mbio za LaLiga hayumo na Capa del Rey hayupo kimbilio ni UEFA pekee.
na wanalitolea macho vilivyo