J jombaa askari JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 494 Reaction score 531 Apr 20, 2018 #1 Wakuu tuwekeni utabiri hapa kuhusu kocha atakaefuatia baada ya mzee wenger kuondoka mwishoni mwa msimu huu Mi nadhani luis enrique atatufaa zaidi hasa kutokana na staili ya uchezaji wa arsenal
Wakuu tuwekeni utabiri hapa kuhusu kocha atakaefuatia baada ya mzee wenger kuondoka mwishoni mwa msimu huu Mi nadhani luis enrique atatufaa zaidi hasa kutokana na staili ya uchezaji wa arsenal
T The Gentleman Pirate JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 1,476 Reaction score 949 Apr 20, 2018 #2 Massimiliano Allegri au Tito
Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,158 Reaction score 17,057 Apr 20, 2018 #3 Tuchel. Aliyekuwa kocha wa BvB.
Akwota JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 791 Reaction score 633 Apr 20, 2018 #4 Luis Enrique kwakweli atapendeza kuwepo pale Emirates
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,803 Apr 20, 2018 #5 Akwota said: Luis Enrique kwakweli atapendeza kuwepo pale Emirates Click to expand... Kwa kweli, aje manager mwenye falsafa ya kucheza mpira wa matokeo na burudani pia.
Akwota said: Luis Enrique kwakweli atapendeza kuwepo pale Emirates Click to expand... Kwa kweli, aje manager mwenye falsafa ya kucheza mpira wa matokeo na burudani pia.
Turnkey JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 7,358 Reaction score 5,843 Apr 20, 2018 #6 Diego Simeone
J jombaa askari JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 494 Reaction score 531 Apr 20, 2018 Thread starter #7 nyangi m.a said: Massimiliano Allegri au Tito Click to expand... Nae atatufaa pia
J jombaa askari JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 494 Reaction score 531 Apr 20, 2018 Thread starter #8 Ziroseventytwo said: Tuchel. Aliyekuwa kocha wa BvB. Click to expand... Yuko vizuri pia
J jombaa askari JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 494 Reaction score 531 Apr 20, 2018 Thread starter #9 Akwota said: Luis Enrique kwakweli atapendeza kuwepo pale Emirates Click to expand... Yap.... Kwangu mi naona ndio anafaa zaidi
Akwota said: Luis Enrique kwakweli atapendeza kuwepo pale Emirates Click to expand... Yap.... Kwangu mi naona ndio anafaa zaidi
J jombaa askari JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 494 Reaction score 531 Apr 20, 2018 Thread starter #10 barafuyamoto said: Kwa kweli, aje manager mwenye falsafa ya kucheza mpira wa matokeo ya burudani pia. Click to expand... Wengine wanasema arteta pia atatufaa coz pale city alipo anapata ujuzi mzuri tu kwa pep
barafuyamoto said: Kwa kweli, aje manager mwenye falsafa ya kucheza mpira wa matokeo ya burudani pia. Click to expand... Wengine wanasema arteta pia atatufaa coz pale city alipo anapata ujuzi mzuri tu kwa pep
J jombaa askari JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 494 Reaction score 531 Apr 20, 2018 Thread starter #11 Turnkey said: Diego Simeone Click to expand... Yap.. Nae yupo vizuri na inabidi coach ajae awe mkali kwa wachezaji wazembe uwanjan
Turnkey said: Diego Simeone Click to expand... Yap.. Nae yupo vizuri na inabidi coach ajae awe mkali kwa wachezaji wazembe uwanjan
J jombaa askari JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 494 Reaction score 531 Apr 20, 2018 Thread starter #12 Au steve bould apewe mikoba coz ni mwana arsenal halisi na anaeujua utamaduni wa klabu nje ndani
Doto Dotto JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 4,038 Reaction score 3,034 Apr 20, 2018 #13 Chogo Kichogo
J jombaa askari JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 494 Reaction score 531 Apr 20, 2018 Thread starter #14 Atakua kaiva kweli kubeba mikoba ya babu pale?
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 29,020 Reaction score 40,793 Apr 20, 2018 #15 Diego Simeon
N nobodylikedme JF-Expert Member Joined Apr 5, 2018 Posts 741 Reaction score 769 Apr 20, 2018 #16 Hata Conte sio mbaya sana
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,354 Reaction score 23,084 Apr 20, 2018 #17 Thiery Henry/ Patrick Vieira
Multiple Myeloma JF-Expert Member Joined Jun 17, 2016 Posts 466 Reaction score 393 Apr 20, 2018 #18 Marco Rose kocha wa sasa wa A.salzburg
J jombaa askari JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 494 Reaction score 531 Apr 20, 2018 Thread starter #19 nobodylikedme said: Hata Conte sio mbaya sana Click to expand... Sio kwamba kaishiwa na mbinu yake ya mabeki watatu imefeli msimu huu?
nobodylikedme said: Hata Conte sio mbaya sana Click to expand... Sio kwamba kaishiwa na mbinu yake ya mabeki watatu imefeli msimu huu?
Pain killer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 14,360 Reaction score 21,713 Apr 20, 2018 #20 N'golo kante bakayoko anafaaa sana kuipa ubigwa arsenal