Hewa mkaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 748 Reaction score 386 Aug 7, 2017 #1 Mateso ni makubwa. Tunateswa makusudi upande wa kutoa leseni za udereva. Tangu asubuhi ni watu 2 wamepewa leseni tena wanawake. Vishoka nao ni wengi wanaingilia utaratibu. Tafadhali wahusika waziri Mpango tusaidie Sent using Jamii Forums mobile app
Mateso ni makubwa. Tunateswa makusudi upande wa kutoa leseni za udereva. Tangu asubuhi ni watu 2 wamepewa leseni tena wanawake. Vishoka nao ni wengi wanaingilia utaratibu. Tafadhali wahusika waziri Mpango tusaidie Sent using Jamii Forums mobile app
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,176 Aug 7, 2017 #2 pole.