Ustadhat Salma sitokusahau we dada

Hii n8 bangi ya ungaynga au ya mbegu?
 
Still thinking how you managed to have an overall GPA of 6.0 with that hand writting ad grammatical errors of yours, sengelipumbumapulodiani.
 
Jokajeusi yuko wapi mwanachama wake ametendwa huku namna gani hapa!

Ila mkuu hapo kwenye kuchanganya mapenzi na viti serious sioni kama upo sahihi ni umakini tu katika kufanya mambo yako uzembe wako na uvivu wako ndio vilikufelisha mbona mwenzio alifaulu na alikua mpenzi wako alichanganya mapenzi na shule na kafaulu vile vile. Kikubwa ni kua wewe hukuchanga karata zako vyema.
 
Hadithi hii alikufundisha nani?.Na alisema inatufundisha nini?.
 
Still thinking how you managed to have an overall GPA of 6.0 with that hand writting ad grammatical errors of yours, sengelipumbumapulodiani
Pamoja na mbwembwe zako za kuandika kingereza Ila umeonyesha wewe ndio ni kilaza wa ngazi ya SGR,hakuna GPA ya 6.0
 
Pole sana...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
 
Hizi hadithi mngesubiri ramadhani iishie kwanza mnatupa changamoto wa upande wa kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…