uspite tu! Lazma inakuhusu.

ok bebi cunajua izo chuchu kiduchu daima zanipa uchu,sihemi simungunyi na hema tu nusunusu,lol,Mx

likizo ya kujiachia imeachia
vichuchu nilkukabdh ukaona ofa kiduchu
sasa niwe mchuchu hali nisha kuchu?
Umechelewa baby next tym b redy
 
i wish you all the best!
 
mmmmmmmmmmmmmmhhh 18? Naanza kutafakari uwepo wangu jf.Should i quit jf ?maana tunayoongea humu jf! Mmmmhhhh!!
 
mmmmmmmmmmmmmmhhh 18? Naanza kutafakari uwepo wangu jf.Should i quit jf ?maana tunayoongea humu jf! Mmmmhhhh!!

Mkuu umeona eh hata mimi nimeanza kushtuka maana sasa hivi mtandao umevamiwa na madenti
 
Xucl c mchezo kupata 2 unazani mchezo hongera bana!
 
Kumbe ndio maana JF ilikuwa ina vituko vingi wakati wa kusubiria matokeo na baada ya matokeo..Dah kwa wale wenye watoto wa kike unaweza kustukia umem-PM binti yako habari ya mapenzi,jamani kuweni waangalifu.

All in all i wish u the best,usicheze eeh
 
congratulations and all the best, zidisha bidii kwenye b/m mbona rahisi tu. Mimi napenda sn m'ke akiwa anaelewa maths/physics tusikubali kupitwa na w'ume tu kila siku
 
Wishing you all the best Sharon , PCB siyo mchezo nenda kale kitabu mama.
 
Kumbe ndio maana JF ilikuwa ina vituko vingi wakati wa kusubiria matokeo na baada ya matokeo..Dah kwa wale wenye watoto wa kike unaweza kustukia umem-PM binti yako habari ya mapenzi,jamani kuweni waangalifu.

All in all i wish u the best,usicheze eeh

mbona kuna watu wazima ovyoooo hapa jf, kwani uanafunzi kitu gan?

najua nin nataka na ninachotaka haitakiwi nikacheze shule. nitakazana mm ni future speacialist Doc, nalijua hilo bado tu kuonesha ulimwengu sina masihara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…