griffin griffith
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 549
- 442
mungu akubariki mkuu,nimeanza kuifanyia kazi ipo usawa wa lintaNimetoa ramani (floor plan) ina details zote kila kitu ushindwe mwenyewe kujen Chukua yote,kama kuna sehemu utashindwa kuelewa micheck PM and I won't charge you....nut sections na baadhi ya michoro haijaandaliwa,ridhika tu na hiyo plan
NB.Iko katika mfumo wa PDF ili details zionekane vizuri
....UPDATE:Lastly nimeamua kumalizia na roof plan kabisa....enjoy the offer that you didn't get it before here and what you thought that can't happen into this Forum.
huu ushauri wako ulio utoa kwa mdau mwaka 2014 ulibadilisha maisha yanguOkay ndio kwanza nazichanga nipate hata kajikiwanja cha 15m kwa 15m.
Nimependa hii kitu Sana, tena Sana. Sijui side Views Nitazipataje.
Aminia mkuu.huu ushauri wako ulio utoa kwa mdau mwaka 2014 ulibadilisha maisha yangu
sitokaa ni usahau
View attachment 1075572
Asante kwa mchango wako kwa jamii ila kwa usawa huu, watu wengi wanauwezo wa kujenga bedroom 3 au hata mbili.Nimetoa ramani (floor plan) ina details zote kila kitu ushindwe mwenyewe kujen Chukua yote,kama kuna sehemu utashindwa kuelewa micheck PM and I won't charge you....nut sections na baadhi ya michoro haijaandaliwa,ridhika tu na hiyo plan
NB.Iko katika mfumo wa PDF ili details zionekane vizuri
....UPDATE:Lastly nimeamua kumalizia na roof plan kabisa....enjoy the offer that you didn't get it before here and what you thought that can't happen into this Forum.
Yeah ahsante pia kwa hilo,hii thread nilianzisha mwaka jana mwishoni. Fortunately kuna ndugu yetu mwingine kaweka hapa kwenye hii hii thread vyumba vitatu. Kwa msaada zaidi nafikiri kwa upande wako ungejielekeza zaidi kwa ndugu yetu huyu.Pia hiyo ya vyumba vinne naimani yupo itakayemfaa hata kama sio sasa hivi.Thaks and em outAsante kwa mchango wako kwa jamii ila kwa usawa huu, watu wengi wanauwezo wa kujenga bedroom 3 au hata mbili.
Hiyo offer yako naiona kama haitawanufaisha wahusika kwani wenye uwezo wa kujenga nyumba hiyo pia wanauwezo wa kununua ramani
Asante kwa majibu; nitaendelea kupitia nione hiyo 3bedrm
Ikikupendeza Weka 2bedroom pia kwani ingesaidia vijana.
Kwa bahati nzuri mimi sihitaji ramani kwa sasa
nipatie email yakoNimependa hii kitu Sana, tena Sana. Sijui side Views Nitazipataje.
Ubarikiwe Sana mkuu
nipatie email yako