Changed ID
Member
- Aug 5, 2018
- 79
- 69
Ahsante kushukuru.....sema inabidi usubscribe huu uzi ili siku ukipoteza hiyo iwe rahisi kuipataKweeli mzee naiweka hii.
Asante.
Hawa wenye jamii forum kila wakifanya mabadiliko yao yanaathiri, tangu wabadilishe hi version siwezi kufungua attachment ya PDF kutumia PC labda wamelenga sana wanaotumia app za androidNimetoa ramani (floor plan) ina details zote kila kitu ushindwe mwenyewe kujenga...Chukua yote,kama kuna sehemu utashindwa kuelewa micheck PM and I won't charge you....nut sections na baadhi ya michoro haijaandaliwa,ridhika tu na hiyo plan
NB.Iko katika mfumo wa PDF ili details zionekane vizuri
Imetulia ila inabidi mtu ajipange maana kama ni mtu wa kuunga unga hauiwezi.
View attachment 890119
Imetulia ila inabidi mtu ajipange maana kama ni mtu wa kuunga unga hauiwezi.
View attachment 890119
Hahahaha....Unaweka pesa kidogo kidogo kwenye kibubu ili malengo ya kulala kwako pazuri yatimieImetulia ila inabidi mtu ajipange maana kama ni mtu wa kuunga unga hauiwezi.
View attachment 890119
Mkuu usiogope michoro,kila mtu anaweza kujenga nyumba ila changamoto ni itachukua miaka mingapi kumalizika......itategemea na pato lakoImetulia ila inabidi mtu ajipange maana kama ni mtu wa kuunga unga hauiwezi.
View attachment 890119
Okay ndio kwanza nazichanga nipate hata kajikiwanja cha 15m kwa 15m.Mkuu usiogope michoro,kila mtu anaweza kujenga nyumba ila changamoto ni itachukua miaka mingapi kumalizika......itategemea na pato lako
15mx15 mkuu hapo utajenga banda sio nyumbaOkay ndio kwanza nazichanga nipate hata kajikiwanja cha 15m kwa 15m.
Najikuna napoweza mkuu si unajua maisha sio mashindano kuna sie pangu pakavu tia mchuzi aka walavumbi aka wavuja jasho aka walahoi15mx15 mkuu hapo utajenga banda sio nyumba
Mkuu kuna viwanja unanunua huku ukilipa kidogokidogo....changamkia hivyo mkuuOkay ndio kwanza nazichanga nipate hata kajikiwanja cha 15m kwa 15m.
Anaweza kujenga kwenda juu15mx15 mkuu hapo utajenga banda sio nyumba
Nipo Arusha Minjingu unavyo viwanja pande za huku?Mkuu kuna viwanja unanunua huku ukilipa kidogokidogo....changamkia hivyo mkuu
Maeneo yepi huko?Mkuu kuna viwanja unanunua huku ukilipa kidogokidogo....changamkia hivyo mkuu
Kwa kukushauri minjingu sio poa,chukua arusha nipe bajeti yako nikushauriNipo Arusha Minjingu unavyo viwanja pande za huku?
Unataka wapiMaeneo yepi huko?
Great Mon learned comrade!Nimetoa ramani (floor plan) ina details zote kila kitu ushindwe mwenyewe kujenga...Chukua yote,kama kuna sehemu utashindwa kuelewa micheck PM and I won't charge you....nut sections na baadhi ya michoro haijaandaliwa,ridhika tu na hiyo plan
NB.Iko katika mfumo wa PDF ili details zionekane vizuri
Umesema KUNA VIWANJA HUKU unaweza lipia kidogo kidogo.. Nimeuliza ni maeneo yepi huko kama patanifaa nianze michakato taratibu mkuu!Unataka wapi